IQNA – Mashindano ya 14 ya kila mwaka ya Maarifa ya Dini miongoni mwa wanafunzi wa madrasa (Maktab) za misikiti yamefanyika nchini Kosovo, yakihusisha wanafunzi mahiri wa masomo ya Qur’ani kutoka miji 18 kote nchini humo.
Habari ID: 3482670 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/24
IQNA – Mchakato wa utekelezaji wa toleo la 18 la mashindano ya kitaifa ya Qur’ani ya ‘Mudhammatan’ umeanza rasmi nchini Iran.
Habari ID: 3482668 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/24
IQNA – Washindi wa toleo la 46 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma, na kufasiri Qur’ani Tukufu wametunukiwa katika hafla iliyofanyika ndani ya Msikiti Mtukufu (Masjid al-Haram) huko Makka.
Habari ID: 3482660 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/22
IQNA – Razan Muhammad Mutawali, msichana wa miaka mitano kutoka Guatemala, ameshiriki katika Mashindano ya 46 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Saudi Arabia.
Habari ID: 3482653 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/21
IQNA – Kozi maalum ya maandalizi ya waamuzi wa mashindano ya Qur’ani nchini Iraq imefikia tamati kwa hafla adhimu.
Habari ID: 3482647 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/19
IQNA – Mashindano ya Qur'ani ya kila mwaka ya “Al-Rasoul Al-Aazam” (Mtume Mtukufu SAW) yamefunguliwa katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a, siku ya Jumapili kwa mnasaba wa Milad un Nabii.
Habari ID: 3482640 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/17
IQNA – Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kidini ya Palestina imetangaza kuwa Mashindano ya 25 ya Kuhifadhi na Tafsiri ya Qur’an ya Al-Aqsa yatafanyika kwa ushiriki wa wanaharakati wa Qur’an kutoka maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3482638 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/17
IQNA – Washindi na washiriki katika mashindano ya 46 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mfalme Abdulaziz, yaliyofikia tamati Makka mapema wiki hii, wametunukiwa zawadi za fedha mwishoni mwa hafla hiyo ya Qur’ani.
Habari ID: 3482633 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/16
IQNA – Taasisi ya Kijiji cha Utamaduni (Katara) nchini Qatar imefungua milango ya maombi kwa ajili ya Toleo la 10 la Tuzo ya Usomaji wa Qur’ani Tukufu. Mashindano hayo ya Qur’ani yanafanyika chini ya kauli mbiu: “Kuimarisha Sauti za Usomaji Mwema”.
Habari ID: 3482583 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/04
IQNA-Mashindano makubwa ya kuhifadhi Quran Tukufu yameanza rasmi siku ya Jumamosi katika mkoa wa Nineveh nchini Iraq, yakishirikisha jumla ya mahafidhi elfu ishirini kutoka rika zote
Habari ID: 3482579 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/03
IQNA – Qari au Msomaji wa Qur’ani kutoka Iran, ambaye atashiriki katika toleo la mwaka huu la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Malaysia, amesema anaendelea kufanya juhudi kubwa ili kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya tukio hilo la Qur’ani.
Habari ID: 3482572 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/02
IQNA-Mashindano ya 34 ya Qur’ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman yameanza rasmi huku yakishuhudia idadi ya washiriki 2,214 wakijitokeza katika hatua ya awali.
Habari ID: 3482571 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/02
IQNA – Toleo la 29 la Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai limepokea zaidi ya mawasilisho 12,000 kutoka kwa washiriki wa kiume na wa kike wanaowakilisha nchi 120 duniani, ndani ya wiki mbili za kwanza tangu usajili ulipofunguliwa. Idadi hiyo ni zaidi ya mara mbili ya waombaji 5,618 kutoka nchi 105 walioshiriki katika toleo lililotangulia.
Habari ID: 3482568 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01
IQNA – Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Malaysia amechaguliwa rasmi.
Habari ID: 3482562 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01
IQNA – Washindi wa Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur’ani ya Balkan walitangazwa na kutunukiwa katika hafla ya kufunga mashindano hayo.
Habari ID: 3482560 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01
IQNA –Mwongozo mpya wa kanuni za Mashindano ya Kimataifa ya 46 ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma, na Kufasiri Qur’ani Tukufu umezinduliwa rasmi.
Habari ID: 3482557 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/29
IQNA – Hatua ya mchujo ya Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya “Awali wa Waliotangulia” (First of the Firsts) imezinduliwa nchini Qatar.
Habari ID: 3482555 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/29
IQNA – Toleo la 20 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mohammed VI linatarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia tarehe 10 hadi 12 Agosti, 2026.
Habari ID: 3482474 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/12
IQNA – Baba na mwanae kutoka Misri waliokuwa washiriki katika Tuzo ya Qur’ani ya Al Ameed nchini Iraq wamekuwa miongoni mwa waliopata nafasi za juu katika shindano hilo la kimataifa la usomaji wa Qur’ani.
Habari ID: 3482368 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/16
IQNA – Wawakilishi wote wa Iran katika toleo la tano la Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Karbala nchini Iraq wamepata nafasi za juu katika vipengele mbalimbali vya mashindano.
Habari ID: 3482351 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/12